You are wrong my friend.
Sisi wanawake tunatofautiana na nyie wanaume na hata na wanawake wenzetu.
Kuna baadhi ya wanawake wana very low libido. Ile hamu ya tendo hawana kabisa. Na sio kwamba ameshafanywa sana ama alianza akiwa mdogo sana. Ndo walivyo.
Hapo cha kufanya sio kumbadilikia na kumchukia. Kaa chini nae. Ongea nae mwambie kisichokufurahisha na mjaribu kutafuta solutions.
Mbona zipo nyingi. Hivi vyakula na matunda tu tunavyotumia msivichukulie poa. Kuna ambavyo vinaongeza hamu ya kushiriki tendo.
Ongeza mapenzi kwake. Badilini maeneo mnayokutana kufanya mapenzi. Msirudie pale pale ama position ile ile kila mara. Muogeshe, Nukia na wewe, pendeza mbele yake.
Mtunuku mazawadi. Anza kumuandaa mapema. Mchana kutwa mchokoze chokoze. Ukiwa njiani kutoka safarini mchokoze chokoze. Muandae vizuri, let her cum first na vijimambo kama hivi.
Be naughty. Pinch her butt. Grab her out of nowhere kiss her, hump her. Ndo mapenzi yenyewe hayo.