mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 644
Mkuu Niliiflash Kwa SP lakin Kumbe ROM File Zilikuwa Zilezile Za Tigo Locked! Ndio Zinapatika Mtandaoni! Nilidownload xda developers.comUmeshaiflash?kwa maana ukifkash haitosoma line na utaitajika sasa uwrite imei,
Ila Niligoogle Nikafanikiwa Kufanya Network Unlocking Kwa Kutumia NCK Tool.Umeshaiflash?kwa maana ukifkash haitosoma line na utaitajika sasa uwrite imei,
Nimeshafanikiwa MkuuMatokeo yamekuwa je?
Inasoma Zote MkuuSafi na inasoma line zote?pale line namba moja?
Kwa nini usiweke procedure ulizotumia hapa? Unless kama hili ni tangazo la biashara la kiaina (of which ungesema tu ukatangaza na dau)Best nimeku Pm naomba jibu,msaada wako unaitajika!!
Ila Niligoogle Nikafanikiwa Kufanya Network Unlocking Kwa Kutumia NCK Tool.
vp na wewe unatumia tecno n2?Mkuu unaweza nisaidia hizo steps na kipi natakiwa kuwa nacho.Ahsanteh
Best nimeku Pm naomba jibu,msaada wako unaitajika!!
Kwa nini usiweke procedure ulizotumia hapa? Unless kama hili ni tangazo la biashara la kiaina (of which ungesema tu ukatangaza na dau)
Nisameheni Sana Wakuu! Nilikuwa Sijapata Notification Zenu Natumia Opera Sio App Ndio Naona Notifucation:Mkuu unaweza nisaidia hizo steps na kipi natakiwa kuwa nacho.Ahsanteh
Nisameheni Sana Wakuu! Nilikuwa Sijapata Notification Zenu Natumia Opera Sio App Ndio Naona Notifucation:
STEP BY STEP
1. Nilidownload NCK Cracked Version Bila Box Kutoka Google Link Nitaweka Nimrisahau Now
2. Ndani Nikakuta Andtoid Drivers Tayari Nika Install.
3. Nikafungua Hiyo NCK! Nikaselect ROM Type ( Kwa N2 Ni MT6580).
4. Then Nikabonyesa Unlocking ~ Direct Unlock
5. Baada Ya Hapo Software Itakupa Maelezo Ya Kuchomeka Simu Ikiwa Off Na Battery Yenye Chaji.
6. NCK iki detect Itaunlock Moja Kwa Moja Na Kukupa Notification! Kuwa Chomoa Simu Kwenye USB.
7. Weka Laini Yoyote Washa Simu Itafanya Kazi.
KUPATA SOFTWARE (NCK Cracked Version)
Sijui Jinsi Ya Kuiweka Hapa!
So Anaetaka Anitumie Email Nimtumia @ 0717421125.
ASANTENI.
Pole sana na hongera sana but kwa simu za chipset ya mtk huwa tunaunclock kwa NCK BOX au NCK CRACKNaomba Msaada Nimekwama Hapa Jinsi Ya Kufanya Simu Yangu Tecno N2 Itumie Lain Zote!
Current Inatumia Laini Ya Tigo
Nishadownload Firmware Yake
+ Sp Flash Tools
+ Android DAB Drivers
Nishajaribu Kuiflash Mara Nne Kwa Sp Ila Bado Inagoma Kufunguka Itumie Lain Zote.
Wowote Anayeweza Kunisaidia !
Natanguliza Shukurani.
UPDATES
Nimefanikiwa Wakuu Kwa Kutumia NCK Tool Tena Nimefanya Kwa Dakika 2 Tu! Ujuz Nimepata Google.
Sijajaribu Nyingine Mim Nimefanikiwa Kwa Chipset Za MTK Tecno N2Ina unlock simu za aina zote? Au ni baadhi mkuu! Ahsanteh
Ambazo siyo Mtk unatumia nn kuunlock?Pole sana na hongera sana but kwa simu za chipset ya mtk huwa tunaunclock kwa NCK BOX au NCK CRACK