Msaada, Ni Kweli Au Kuna Kitu Hapa

hamibenz

Member
Sep 27, 2014
44
15
Jamani kuna kazi nimeitwa kwenye interview lakini wanataka niwapelekee result zaPsychometric Test, nimepokea email hii
...."Please note that we require for the position your latest Psychometric IPPACTS score by an Independent Psychometric Invigilator

Should you not have your psychometric assessment ready, please fill the
entry assessment form but schedule your CAPT with an International
invigilator including but not limited to.
Cha kushangaza izo test unafanya kwa dollar 115.mhhhh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao nimatapeli. Uki-schedule na huyo international invigilator atakwambia ulipie ukishalipia hutowaona hata kuwapata kwa contacts zao. Ndivyo wanavyowaibia watu hivyo. So watch out my dear

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom