Nisaidieni kujua tofauti ya bachelor science in business communication and information technology na bachelor science in information technology na ipi ni nzuri kuisomea ambayo ukimaliza ita kupa wigo mkubwa kujiajiri na kuajiriwa
Izoo koz zote n nzur tu kwa kutamka ila kiuhalisia kama haupo interested na ayoo mambo physically unapoteza mda chuon,, utameza madesa,, practical hamna,, mpaka unagraduate, ,,,,,,soma unachokipenda