Nimekuwa nikitumia ADOBE PREMIERE PRO kuedit video zangu lakini siku hizi kama week au zaidi,
1. Nikiwasha laptop inakuwa nzito kuwaka
2. Nikifungua ADOBE pia inasumbua na inaleta ujumbe huo kwenye picha
3. Nyimbo, video, picha, zinapotea bila kufutwa
Naona unatumia Premeire ya 2019 but seems like your laptop ni ya kitambo sana. Ku run premiere series from 2018 up to-date unaitaji pia latest Nvidia drivers. Nawee bado inatumia intel R!
Naona unatumia Premeire ya 2019 but seems like your laptop ni ya kitambo sana. Ku run premiere series from 2018 up to-date unaitaji pia latest Nvidia drivers. Nawee bado inatumia intel R!