Msaada: Ndoto hii siielewi

Msaada: Ndoto hii siielewi

dada dori

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
233
Reaction score
93
Habari!

Jana niliota navalishwa mkufu shingoni halafu ukakatika, kisha nikapewa dawa kwenye chupa nikaambiwa niitumie na nitapata majibu ndani ya wiki moja.

Msaada wenu please kwa anayeelewa
 
Mh!Mambo uliyokuwa unategemea kufanikiwa mwaka huu yatakwama,usitumie pesa kuwekeza katka biashara yoyote utapoteza pesa zako!Subri mwaka huu upite!
 
Mkufu ni mafanikio...promotion nk.hvo huenda mipango yako ikakwama ..hapo naona shetani kakuletea mganga ili akusaidie. Sasa sijui imani yako ni ya waganga au mungu hapo wewe tu kufanya uamuzi...mimi kwa imani yangu ningekataa ndoto hiyo na kukiri kuwa mambo yangu yatakuwa safi tu ....ningeondoa hofu nakuamini kuwa mungu atanipigania...best wishes
 
Asante!mimi nimeokoka na nina imani na mungu!itabidi niingie kwenye maombi.ubarikiwe!
 
Back
Top Bottom