Profesa wa Maliasili
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 632
- 1,933
Android sijawahi kutumia na siwezi kutumia mkuu
Kwani hiyo aliyokuambia ni Android mkuu?
Hauwezi labda ufanye manyanga, washapiga chini mpak iPhone X , no updateNatumia iphone 7plus Kuna baadhi ya Apps kwenye simu yangu zimeanza kugoma kufanya kazi zikinihitaji ni update kwenda ios 16/17 version nimeingia sehemu ya ku update hamna option ya ios 16 wala iyo 17
Msaada wenu jf techs
Nlitaka nishangae mjaluo na iPhone wapi na wapiNatumia iphone 7plus Kuna baadhi ya Apps kwenye simu yangu zimeanza kugoma kufanya kazi zikinihitaji ni update kwenda ios 16/17 version nimeingia sehemu ya ku update hamna option ya ios 16 wala iyo 17
Msaada wenu jf techs
Hauwezi labda ufanye manyanga, washapiga chini mpak iPhone X , no update
Nlitaka nishangae mjaluo na iPhone wapi na wapi
Basi sio lazima upate hiyo ios 16 ww baki na famba hilo skuhizi tunawanunulia watoto wachezee chezew kabla hawajajua kitumia simu vizuri. Kiufupi ukitaka uishi vizuri nunua ka android kako ishi nako hayo ma iPhone yana mambo kibao leo imeachwa kwenye upgrade kesho zitazimwa kabisaNilikuwa sijamuelewa vizuri,
Kawaida yangu nanunua simu pale tu ambapo simu ninayoitumia imekufa au imepotea,nilishavuka hatua ya kwenda na fashion kwamba ni upgrade kutokana na toleo
Siwajui vizuri???? 😂😂 Hamna jipya mfano hai tunauona hapaUnatuchukulia poa mkuu labda hautujui vizuri wajaluo
Siwajui vizuri???? [emoji23][emoji23] Hamna jipya mfano hai tunauona hapa
Kwani hiyo aliyokuambia ni Android mkuu?
Nilikuwa sijamuelewa vizuri,
Kawaida yangu nanunua simu pale tu ambapo simu ninayoitumia imekufa au imepotea,nilishavuka hatua ya kwenda na fashion kwamba ni upgrade kutokana na toleo
Mchumba tafuta pesa kumbe hata aina za iPhone huzijui? [emoji1787]
iphone X yangu juzi tu imeupdate.Hauwezi labda ufanye manyanga, washapiga chini mpak iPhone X , no update
Sikua kwenye shindano lolote hii ni jf relax hakuna mashindanoSawaa umeshinda mku
Nilikuwa sijamuelewa vizuri,
Kawaida yangu nanunua simu pale tu ambapo simu ninayoitumia imekufa au imepotea,nilishavuka hatua ya kwenda na fashion kwamba ni upgrade kutokana na toleo