Emma Simbo
Member
- Jan 28, 2018
- 44
- 15
Lugeye vipi ulishafika?Habari wakuu naomba msaada,
Nataka kuanza safari ya kwenda Namibia kwa njia ya basi.
Je inawezekana kwanza? Pili niwe na document zipi ili nisisumbuliwe njiani na niandae kiasi gani njiani na wanatumia hela gani huko?
Mwisho kazi gani za ovyoovyo naweza kupata fasta na mkoa/jimbo gani kuna fursa kubwa ya ajira huko Namibia?.
Duuh mkuu na mpango wa kwenda na nimeshajipanga tarehe sita naondoka. nimesoma maelezo yako nimepaogopa.Namibia miaka ya nyuma tulikua tunapaita mchanga wa chuma hapachimbiki kitu...anza safari Tunduma mpaka Lusaka tsh 40,000 na ukifika Lusaka zipo bus za moja kwa moja pale intercity nauli ni kama Tsh 100,000 mpaka Windhoek kupitia Sesheke kote huko sijui Namibia,Botswana life kwa wageni kuanza ni kazi kidogo South Africa mpaka kesho itabaki kuwa kiwanja inategemeana na umejipangaje na una fani gani...Mnamibia anaitamani SA nae...
Kamanda haogopi pori wewe nenda Namibia kwa ishu yako ukiona wanasumbua vibali nenda Botswana ukipata vibali kazi unapata na hasa kwenye miji midogo ya hizo Nchi kama Fransitown na mengineyoDuuh mkuu na mpango wa kwenda na nimeshajipanga tarehe sita naondoka. nimesoma maelezo yako nimepaogopa.
Asante saana mkuu. Ukiogopa ogopa hufiki popote.asante kwa kunitia moyo.Kamanda haogopi pori wewe nenda Namibia kwa ishu yako ukiona wanasumbua vibali nenda Botswana ukipata vibali kazi unapata na hasa kwenye miji midogo ya hizo Nchi kama Fransitown na mengineyo
XD XD Kambi popote mkuuWatu wameanza Kuchoka nchi yao. ha ha ha ha ha.
The iron is tight
Hahaha kusafiri mpaka Namibia kwa basi pitia Zambia au Malawi mabasi mengi nauli kutoka Tz mpaka Namibia ni 150000, kuwa na dollar mfukoni, utatumia siku Tatu kufika kuhusu kazi ujipange Namibia hawaruhusu wageni kufanya kazi... Nenda swakopmund au Windhoek
Hapo unamaanisha kutoka zambia au Tz mkuu kwa hiyo 150000?kwa hiyo wageni kazi hawaruhusiwi kabisa? Kwako bora mtu aende namibia au botswana.?Hahaha kusafiri mpaka Namibia kwa basi pitia Zambia au Malawi mabasi mengi nauli kutoka Tz mpaka Namibia ni 150000, kuwa na dollar mfukoni, utatumia siku Tatu kufika kuhusu kazi ujipange Namibia hawaruhusu wageni kufanya kazi... Nenda swakopmund au Windhoek
mkuu ulifika namibia?Habari wakuu naomba msaada,
Nataka kuanza safari ya kwenda Namibia kwa njia ya basi.
Je inawezekana kwanza? Pili niwe na document zipi ili nisisumbuliwe njiani na niandae kiasi gani njiani na wanatumia hela gani huko?
Mwisho kazi gani za ovyoovyo naweza kupata fasta na mkoa/jimbo gani kuna fursa kubwa ya ajira huko Namibia?.
Mkuu ulifika namibia?Duuh mkuu na mpango wa kwenda na nimeshajipanga tarehe sita naondoka. nimesoma maelezo yako nimepaogopa.