fralay97benami
Member
- Aug 13, 2017
- 17
- 11
Bado sana wewe hicho ni kipindi kitapita ila jitahidi sana puchu isikuzoeeKama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
Kama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
Ukp wapi tuonane nikupe nondo?Kama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
Je wana wake hawakutongozi? kama ndio na bado una waogopa ,basi jaribu kujiamini ondoa aibu, kama hawa kutongozi na hauogopi wao kuanza kukutongoza, basi jiweke kisharobaro zaidi, angalia wana wake wana penda nini bai na wewe kifanye , halafu watajileta wenyewe.ila nakushauri usiwe na papara kwnye haya masuala, maana hakuna faida sana zaidi ya kutafuta stress na magonjwa .Kama heading inavyojieleza,Mimi nikijana wa miaka 20 sijawahi kua na mpenzi wala mchumba kifupi naogopa wasichana kupitiliza (mda mwingine ata salamu siwezi kutoa yani DoMoZeGe)basi ninyi kama wana jf was MMU naomba ushauri wenu nini cha kufanya niondokane kathia hii ukiangalia umri nao unasogea#nawakilisha
Dogo endelea kuwaogopa hivyo hivyooooo....unajua hata naniliuu zao za motoooo, ukiweka kidude chako kinaivia na kukatikia humo humo....
Wanaume wote waliowahi kuweka vidude vyao kwenye vindude vya wanawake washapoteza vidude vyao.... Kamwambie mdogo wako wa miaka miwili izo story
Shauri yako kama na wewe ukijaribu...
mshana umetshaBado sana wewe hicho ni kipindi kitapita ila jitahidi sana puchu isikuzoee
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu mshana sipatii picha ana umri gan maaa was kitambo umu salute mkuumshana umetsha
Duuu hapo mkuuu umefika mbali hujaambiwa vyote hivyo hana amekuambia anawaonea aibu wasichana mleta mada tulizana mimi mwenyewe nilikua naona aibu kwani nilisoma shule za boys kuanzia form one hadi six nimefika chuo nilipata shida sana wakati wa discusion ila ndio sehemu ilionipa cofidence ya kuongea nao maana walikua wakichangia mada jinsi tunavyo bishana nikazoea mpaka leo naongea nao vizuri kwa hiyo jalibu sana kuudhulia discusion hapo ulipo ili hao ulionao wakupe confidence asant sana mtoa mada umenigusa sana na nimekumbuka mbali.Kuna udhaifu utakuwa nao unaokunyima confidence laba sura yako mbaya,una kibamia,hudindishi vzr,huna pesa,hauvai vzr,huna pakuwapeleka ,unekuwa una angalau viwil kati ya nilivyotaja usingewaogopa wasichana
Kasema anaogopa wasichana nami nikatoa reason zinazomfanya mtu akose confidenceDuuu hapo mkuuu umefika mbali hujaambiwa vyote hivyo hana amekuambia anawaonea aibu wasichana mleta mada tulizana mimi mwenyewe nilikua naona aibu kwani nilisoma shule za boys kuanzia form one hadi six nimefika chuo nilipata shida sana wakati wa discusion ila ndio sehemu ilionipa cofidence ya kuongea nao maana walikua wakichangia mada jinsi tunavyo bishana nikazoea mpaka leo naongea nao vizuri kwa hiyo jalibu sana kuudhulia discusion hapo ulipo ili hao ulionao wakupe confidence asant sana mtoa mada umenigusa sana na nimekumbuka mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app