Nimeenda kwenye hospital ya Madona, Mnazi mmoja, kairuki nk, na nitajaribu kuwaelezea vzr kuhusu Tatizo langu lakini Naambulia kupimwa Malaria, typhoid na UTI.Pole sana.. Umeenda Hospitali gani?? Vipimo gani haswa wanakufanyia. Mi siyo mtaalamu lakini matatizo yote uliyoyataja hapo yana uhusiano na mifupa (skeleton) kama ungepata full body scan na kuangalia cushions kwenye joints ingeweza kunarrow down tatizo lipi unalihisia. Lakini pia ungejaribu dawa za mitishamba.
Aisee, lakini unaweza ukaomba vipimo vya maabara kwa ajili ya x-ray na ukamwambia kabisa daktari umesumbuka sana na unaomba upate vipimo hivyo. Wanaweza kuchukulia poa lakini wewe ndo unaeumwa, maumivu wewe ndo unayajua hamna mwingine anaweza kukubebea maumivu yako. Be strong na wakati fulani kuwa mkali kidogo kwa madaktari wasiojielewa.Nimeenda kwenye hospital ya Madona, Mnazi mmoja, kairuki nk, na nitajaribu kuwaelezea vzr kuhusu Tatizo langu lakini Naambulia kupimwa Malaria, typhoid na UTI.
Mpaka Juzi nilijikuta naambiwa na Doctor et nisimfundishe kazi, Mara baada ya kumwambia anipime kipimo cha X-ray. Hatari mkuu
Shukran Sana Mkuu, kwakwell kwa jins ninavyo teseka, acha tu.Aisee, lakini unaweza ukaomba vipimo vya maabara kwa ajili ya x-ray na ukamwambia kabisa daktari umesumbuka sana na unaomba upate vipimo hivyo. Wanaweza kuchukulia poa lakini wewe ndo unaeumwa, maumivu wewe ndo unayajua hamna mwingine anaweza kukubebea maumivu yako. Be strong na wakati fulani kuwa mkali kidogo kwa madaktari wasiojielewa.
Pole kwa matatizo,je una umri gani,unafanya kazi gani na je uliwahi kupata ajali huko nyuma.Habari wakuu,
Nimwaka wa tano sasa nasumbuliwa na :
Maumivu makali shingoni yakiambatana na misuli ya shingoni kukaza.
Uti wa mgongo unakaza pamoja na maumivu kila siku. Siwezi kukaa kwa muda mrefu bila kuegemea sehem.
Taya za mdomo zinakaza, nikipiga mwayo huwa Nasikia Kama mifupa iliyokaza inaachia.
Kifua Kina kaza kiasi nikivuta pumzi kwa nguvu husika mifupa inaachia Kama vile ilikuwa imekaza.
Uchovu wa mwili kila siku ni sehemu ya maisha yangu.
Nimeenda Sana hospital lakini nimeishia kuandikiwa Mi antibiotics mpaka nimechoka.
Msaada nifanyenini ili niondokane na maumivu haya?
Nawasilisha.
Geogismimi etc..
Ushawahi kufanya nyeto kwa mda mrefu, hauna vidonda vya tumbo, wewe sio mnene. Ukinijibu hayo maswali ntajua nikusaidiejeHabari wakuu,
Nimwaka wa tano sasa nasumbuliwa na :
Maumivu makali shingoni yakiambatana na misuli ya shingoni kukaza.
Uti wa mgongo unakaza pamoja na maumivu kila siku. Siwezi kukaa kwa muda mrefu bila kuegemea sehem.
Taya za mdomo zinakaza, nikipiga mwayo huwa Nasikia Kama mifupa iliyokaza inaachia.
Kifua Kina kaza kiasi nikivuta pumzi kwa nguvu husika mifupa inaachia Kama vile ilikuwa imekaza.
Uchovu wa mwili kila siku ni sehemu ya maisha yangu.
Nimeenda Sana hospital lakini nimeishia kuandikiwa Mi antibiotics mpaka nimechoka.
Msaada nifanyenini ili niondokane na maumivu haya?
Nawasilisha.
Geogismimi etc..
Ahsante kwa ushauri wako mkuu. Nipo dar.Duh pole sana mkuu, fanya kama ulivyoamriwa hapo juu, ili kufanya haya mambo yawe simple jaribu kuomba appointment na daktari yeyote yule, mcheki muda akiwa free then mwambie tatizo lako from the scratch na unachodhani ni sababu, mweleze lifestyle yako every day kuanzia kula mpk kulala na hata utendaji kazi wako. Ukifanya hivyo hata kama dokta sio specialized ata kupa rufaa kwa mtaalamu mwenzake.. ukiongea nao kuwa mpole wale jamaa wapo frustrated sana na wanafanya kazi kwenye pressure kubwa mno. Ungekuwa aurusha ningekushauri uende seliani etc hizi za wazungu
Nyeto nishawahi piga Sana tu, Sina Hakika kuhusu vidonda vya Tumbo japo nahisi ninavyo japo cjawahi fanya vipimo. Mimi Sio mnene kabisa.Ushawahi kufanya nyeto kwa mda mrefu, hauna vidonda vya tumbo, wewe sio mnene. Ukinijibu hayo maswali ntajua nikusaidieje
Mkuu hayo uliyosema ndio yanakuletea hali hiyo. Nakushauri kapime na vidonda vya tumbo, kama havipo utakuwa na bactreria wanaoweza kusababisha hivyo vidondo, ila sio lazima. Maana mwingine anakuwa nazo ila hazileti vidonda vya tumbo.Nyeto nishawahi piga Sana tu, Sina Hakika kuhusu vidonda vya Tumbo japo nahisi ninavyo japo cjawahi fanya vipimo. Mimi Sio mnene kabisa.
Ahsante kwa ushauri wako mkuu. Nipo dar.
Solution plz...Mkuu hayo uliyosema ndio yanakuletea hali hiyo. Nakushauri kapime na vidonda vya tumbo, kama havipo utakuwa na bactreria wanaoweza kusababisha hivyo vidondo, ila sio lazima. Maana mwingine anakuwa nazo ila hazileti vidonda vya tumbo.
Ahsante MkuuKama utafeli au muda utaenda jaribu kula lishe kamili, mi juisi ya karotu matunda mbogamboga chapati kunywa maji mengi.. soda au jamii za soda achana nazo, lala sehemu yenye hewa ya kutosha oga maji ya baridi marakwamara piga zoezi nk.
Kwa namna moja au nyingine mwili unaweza jitibu kwa dozi hio
Nenda kapime kwanza, ukishapata majibu. Ndo utajua cha kufanyaSolution plz...