(@)Mama D ni kweli kabisa kwa ugonjwa aliokuwa nao alihitaji faraja sana hasa kuanzia watu wa karibu anaoishi nao (wauguzi) pia na watu wenye kufatilia kila hali anayoipata hasa wakati analalamika kuhusu kero za dawa.Unaweza ukawa na shida ya ugonjwa lakini shida ya upweke ikawa kubwa zaidi kuliko ugonjwa.
Huyu kijana ni kama faraja yake alikua anaitafuta jamiiforum, huko alipokua alikosa watu wa karibu wa kushare nao anayopitia, wangekuepo wangempa faraja, wangemshauri na wangemwonyesha upendo
Pumzika kwa amani
Takribani watu wote tuna latent TB, so ukiona dalili zinaanza kujitokeza jua sasa upo stage mbovu.Jamani nimepewa dawa za TB lakini sikupimwa chochote hata kikohozi kwasababu nilikuwa sikohoi na sijawah kukohoa ni cjapma TB, baada ya kuwa na hali mbali kwenye mfumo wa upumuaj nipo poa sasa baada ya kutumia machines na dawa.
Sasa najiuliza sina dalili za TB sikohoi kabisa nilikuwa nakohoa kidogo tu kutoka na kukosa pumzi na bila makohozi.
Sasa either nikubali kuendelea kuzitumia hata kama sina na kuna madhara yoyote ya kufanya hvyo? Au naweza kufuatilia ili nisitishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah ni kweli wanasema kila kifo hakikosi sababu siku zikiwadiaVizuri sana kiongozi. Ni siku yake ilikuwa imefika. Inasikitisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kuna thread imeandikwa na MTU ambaye anafahamiana nae! Tumuombee apumzike kwa Amani
Isee naona Kama sisi JF tulifanya uzembe..jamaa alituwekea mpaka picha lakini nikama tulikaa kimya..sad!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama device(simu au PC) yake aliacha JF na bado ipo on lazima ID yake itaonekana online.Huyu mtoa post kuna uzi umewekwa humu kuwa amefariki hapa namuona online kulikoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Last seen yake ni 7.18pm Saturday 4th January 2020. Hivyo hayupo online.Kama device(simu au PC) yake aliacha JF na bado ipo on lazima ID yake itaonekana online.
Huenda mambo ya JF App ya kwenye smart phone.Last seen yake ni 7.18pm Saturday 4th January 2020. Hivyo hayupo online.
Sure. Watu wengi sana wanaupweke na Faraja yao kubwa wanaipata hapa JF.Unaweza ukawa na shida ya ugonjwa lakini shida ya upweke ikawa kubwa zaidi kuliko ugonjwa.
Huyu kijana ni kama faraja yake alikua anaitafuta jamiiforum, huko alipokua alikosa watu wa karibu wa kushare nao anayopitia, wangekuepo wangempa faraja, wangemshauri na wangemwonyesha upendo
Pumzika kwa amani