Mnatafta mtoto huku mnakunywa pombe Kali huko hata ka ungeshika mimba huyo mtoto angepata matatizo. Kunywa pombe si sifa zaid ya kuharibu afya na mwili.
Aende kwa Wataalam ili wamchunguze kama ana uwezo wa kutia mimba au la. Na kama jibu hana uwezo wa kutia mimba ni vipi wanaweza kumsaidia (kama wana uwezo wa kumsaidia) kila la heri.
Kama Hukukusidia Kutafuta Kiki hapa!
Basi Ushauri Wangu Mpige Na Chini Huyo Chapombe, Halafu Jaribu Zari Kwa Mwengine! Lakine Usiishie Kucheza Gemu Za Kirafiki tu! Bali ingia Kwenye Ligi Kamili. Namaanisha Asikugonge Kiaina! Bali Akuowe Kabisaaa!!!
wish ingekuwa nafasi yangu nataman sana kupata mtoto any way Mimi sio mtaalam ila nenda na mwenzi wako hospital kama iki fail plz ni Pm tuone tunasaidiana vip
Jaribu Tiba asilia wewe na mwenzi wako mtumie dawa naimani kichanga kitaonekana. Ukishindwa tuwasiliane kama upo karibu na Mwanza ntakusaidia wewe na mwenzi wako