Wajameni,
Kuna jamaa yangu katoka mkoani juzi, kaja na tuhela twake anataka kununua kausafiri.
Kwa nn watu wanaogopa 6 cylinder, nilishawahi kutumia 4 na sasa natumia 6 sijaona tofauti afterall nikienda nyumbani (Moshi) na six nakuwa more comfortable coz in engine nzito so ina balance na mwendo wake pia ni mzuri

hahahahaaaa.. this is why I love JF bwana....Kama wakuja mpige na bajaj mwambie ndio fasheni......tehe teee.!
Aisee pale fire apafai kabisa kwani nilienda kununua gari jamaa wakaniuzia gari pajero mini kwa mil. 14....nikalipa cash ila mziki ulikuwa kusajiri gari kwa jina langu, hapo mandata wakanizunguka kinoma kumbe document nilizopewa za gari ni za pikipiki ambayo ipo zanzibar......niliporudi kwa jamaa pale fire akaniruka kana kwamba sikununua pale.....ilikuwa ni mziki wa aina yake ndugu.....so please kuwa makini na showroom....maana wengine wanaiba magari kutoka majuu
Habar jf.
Nataka kununua gari nina kiasi ya shilingi Milioni tano tu, Gari ninayoitaji iwe Corolla,Au Rav4 Old model,
Kwenu wadau.
Hela yako ni ya pikipiki unataka kununua gari. watakuuziaugonjwa wa moyo mtumba kwisha kazi utuwekee ucku barabarani. ushauri wa bure kanunue Sanlg mbili. moja yako nyengine fungua business ya boda2