T TEGEMEA JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 369 Reaction score 56 May 18, 2015 #1 Wadau nataka kuanzisha cable tv.Nina umeme nyumbani nina receiver mbili.je nahitaji nini kingine ili nianzishe cable tv?.Nina uhakika wa kupata wateja 50 wa kuanzia.nawasilisha.
Wadau nataka kuanzisha cable tv.Nina umeme nyumbani nina receiver mbili.je nahitaji nini kingine ili nianzishe cable tv?.Nina uhakika wa kupata wateja 50 wa kuanzia.nawasilisha.
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 May 18, 2015 #2 Leseni ya TCRA
T TEGEMEA JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 369 Reaction score 56 May 18, 2015 Thread starter #3 ymollel said: Leseni ya TCRA Click to expand... Nipo kijijini sana mtaalam ymollel.
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 May 18, 2015 #4 TEGEMEA said: Nipo kijijini sana mtaalam ymollel. Click to expand... hahaha , sawa mkuu. sasa hapo kwanza wateja wako hawatakuwa na option ya kubadili channel. watalazimika kuangalia channel uliyoiseti kwa wakati huo. Sijui unatumia receiver za aina gani?
TEGEMEA said: Nipo kijijini sana mtaalam ymollel. Click to expand... hahaha , sawa mkuu. sasa hapo kwanza wateja wako hawatakuwa na option ya kubadili channel. watalazimika kuangalia channel uliyoiseti kwa wakati huo. Sijui unatumia receiver za aina gani?