real G JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 5,227 Reaction score 5,303 Jan 4, 2016 #1 habari wadau, nilinunua smartfone ila inatumia line ya voda tu, sasa naomba kama kuna mtu anajua, je unaweza uka flash ukatumia line zote? na uki flash hakuna side effects kwenye simu? shukrani..
habari wadau, nilinunua smartfone ila inatumia line ya voda tu, sasa naomba kama kuna mtu anajua, je unaweza uka flash ukatumia line zote? na uki flash hakuna side effects kwenye simu? shukrani..
Sangoma JF-Expert Member Joined Apr 7, 2012 Posts 344 Reaction score 165 Jan 4, 2016 #2 hii sikuflash kinachofanyika hapa ni kuunlock network na unapofanya hii huduma hakuna madhara yoyote yatakayo tokea kwenye simu yako unampa imei anakupa unlock code ya simu yako unaweza mcheki jamaa mkafanya biashara HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
hii sikuflash kinachofanyika hapa ni kuunlock network na unapofanya hii huduma hakuna madhara yoyote yatakayo tokea kwenye simu yako unampa imei anakupa unlock code ya simu yako unaweza mcheki jamaa mkafanya biashara HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
real G JF-Expert Member Joined Feb 7, 2013 Posts 5,227 Reaction score 5,303 Jan 4, 2016 Thread starter #3 Sangoma said: hii sikuflash kinachofanyika hapa ni kuunlock network na unapofanya hii huduma hakuna madhara yoyote yatakayo tokea kwenye simu yako unampa imei anakupa unlock code ya simu yako unaweza mcheki jamaa mkafanya biashara HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number | JamiiForums | The Home of Great Thinkers Click to expand... shukrani mr. sangoma, japokua jamaa anacharge hela ndefu
Sangoma said: hii sikuflash kinachofanyika hapa ni kuunlock network na unapofanya hii huduma hakuna madhara yoyote yatakayo tokea kwenye simu yako unampa imei anakupa unlock code ya simu yako unaweza mcheki jamaa mkafanya biashara HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number | JamiiForums | The Home of Great Thinkers Click to expand... shukrani mr. sangoma, japokua jamaa anacharge hela ndefu