MSAADA: NATAFUTA REMOTE CONTROL RM 886 KWA SONY TRINITRON KV92fx11u

Joined
Apr 22, 2009
Posts
27
Reaction score
1
Ndugu wana JF nisaidieni niweze kupata REMOTE CONTROL NUMBER RM 886 FOR SONY TRINITRON KV29fx11U nimebahatika kununua tv aina tajwa katika mitumba lakini haina remote nasiwezi fanya mambo mengi kwenye tv hii hadi nipate hiyo remote.
au kwa mwnye ufahamu nimegoogle nimeipata e-bay je nafanyeje ili niipate nawasiisha ombi.
 
Kwa kuwa umeipata ebay, basi malizana nao.
Otherwise kama upo Dar nenda pale round about ya barabara za Uhuru na Msimbazi, kuna maduka mengi ya vifaa vya umeme yanayouza kila aina ya remote controler. Hakika huwezi kukosa
 
Asante mkuu Idimi mimi nipo Dar nitakwenda hapo Uhuru na Msimbazi lolote nitakalo likuta hapo nitarudi kutoa taarifa. Juu ya e-bay taratibu zote nipo gizani kabisa ndio maana nimeomba kufahamishwa.
 
Uzuri wa Sony ni kwamba remote control zake zote za TV huingiliana.
 
Ndugu wana JF nisaidieni niweze kupata REMOTE CONTROL NUMBER RM 886 FOR SONY TRINITRON KV29fx11U nimebahatika kununua tv aina tajwa katika mitumba lakini haina remote nasiwezi fanya mambo mengi kwenye tv hii hadi nipate hiyo remote.
au kwa mwnye ufahamu nimegoogle nimeipata e-bay je nafanyeje ili niipate nawasiisha ombi.

Ebay umeiona kiasi gani? Na ww una kiasi gani nikuagizie ebay na kukuletea hadi bongo?
 
MAMA KIBUNJU ebay used wanauza pound 7.50 mpya equivalent to original wanauza pound 15.50 sina uhakika kwa kusafirisha hadi dar na ushuru itagarimu kiasi gani, KAMA INAWEZEKANA WEWE KUNILETEA FANYA HIVYO.nawasilisha.
 
Mpaka Dar 50,000 used na 80,000
 
wewe uko wapi kwa wakati huu maana hiyo kitu naihitaji sana Tv bila remote ni usumbufu kwa nyakati hizi za kisasa
 
ndugu wana jf nisaidieni niweze kupata remote control number rm 886 for sony trinitron kv29fx11u nimebahatika kununua tv aina tajwa katika mitumba lakini haina remote nasiwezi fanya mambo mengi kwenye tv hii hadi nipate hiyo remote.
Au kwa mwnye ufahamu nimegoogle nimeipata e-bay je nafanyeje ili niipate nawasiisha ombi.
inapatikana ni pm
 
Watu hambadiliki bado mnatumia machogo hadi leo!
 
Back
Top Bottom