D Ducinaltum Senior Member Joined Oct 9, 2022 Posts 184 Reaction score 144 Dec 5, 2023 #1 Hallow JF members, i hope mko poa. Natafuta mwalimu mzuri wa karate hapa Dar, hususani kutoka maeneo ya Mtoni Mtongani au Mbande. Nawasilisha wakuu
Hallow JF members, i hope mko poa. Natafuta mwalimu mzuri wa karate hapa Dar, hususani kutoka maeneo ya Mtoni Mtongani au Mbande. Nawasilisha wakuu
py thon JF-Expert Member Joined Sep 11, 2016 Posts 2,475 Reaction score 4,454 Dec 22, 2023 #2 Ukitaka ujifunze karate vizuri soma chini ya walimu waliofuzu namaanisha masensei Kuna Mmoja sensei Yahya mgeni dojo lake lipo ilala bungoni ccm,gongo la mboto na ubungo Kuna sensei kheri kivuli yupo shule ya uhuru kkoo Na wengineo
Ukitaka ujifunze karate vizuri soma chini ya walimu waliofuzu namaanisha masensei Kuna Mmoja sensei Yahya mgeni dojo lake lipo ilala bungoni ccm,gongo la mboto na ubungo Kuna sensei kheri kivuli yupo shule ya uhuru kkoo Na wengineo
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,826 Reaction score 22,369 Dec 22, 2023 #3 Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha?
Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha?
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 19,943 Reaction score 37,834 Dec 22, 2023 #4 Yang Shodan Young kibadanch kataa
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,491 Dec 22, 2023 #5 mwandende said: Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha? Click to expand... Wewe huu muda unaotumia kushauri maisha ya watu usowajua unaingiza sh ngapi?
mwandende said: Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha? Click to expand... Wewe huu muda unaotumia kushauri maisha ya watu usowajua unaingiza sh ngapi?
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,816 Reaction score 35,816 Dec 22, 2023 #6 mwandende said: Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha? Click to expand... ficha ujinga wako.
mwandende said: Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha? Click to expand... ficha ujinga wako.
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,479 Reaction score 9,019 Dec 22, 2023 #7 mwandende said: Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha? Click to expand... Yawezekana pia akawa tayari alishazisaka noti na ameshanyoosha future yake mkuu. Mpe msaada anaohitaji kama unao. Be relevant to the topic. 😎 -Kaveli-
mwandende said: Huo muda unaoutumia kijifunza karate ,ungeutumia kwenye kusaka noti utafika mbali sana. Hivi ukishajuwa hizo karate utapata maendeleo gani ya future yako ktkt maisha? Click to expand... Yawezekana pia akawa tayari alishazisaka noti na ameshanyoosha future yake mkuu. Mpe msaada anaohitaji kama unao. Be relevant to the topic. 😎 -Kaveli-
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,506 Reaction score 43,506 Mar 1, 2024 #9 Ducinaltum said: Hallow JF members, i hope mko poa. Natafuta mwalimu mzuri wa karate hapa Dar, hususani kutoka maeneo ya Mtoni Mtongani au Mbande. Nawasilisha wakuu Click to expand... Fika msikiti wa karibu yako ujiandikishe uanze mafunzo.
Ducinaltum said: Hallow JF members, i hope mko poa. Natafuta mwalimu mzuri wa karate hapa Dar, hususani kutoka maeneo ya Mtoni Mtongani au Mbande. Nawasilisha wakuu Click to expand... Fika msikiti wa karibu yako ujiandikishe uanze mafunzo.