Habari Wakuu, nilikuwa Natafuta ushauri,uzoefu na maelekezo yenu ni wapi ntapata mkaa Mzuri kwa matumizi ya nyumbani. Mkaa ninaotafuta ni wa bei ya jumla pia biashara hii ntaifanya kwa kufuata sheria sio kimagendo, NAOMBENI MUONGOZO WENU