L luckman JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,211 Reaction score 373 Aug 14, 2017 #1 Habari wanajamvi, namomba msaada wa namba ya mfanyabiashara yoyote wa Comoro, anaweza kuwa mtanzania ila anachukua bidhaa Tanzania au akawa mkomoro anayekuja kununua bidhaa hapa Tanzania, nashukuru sana kwa ushirikiano wenu. luckman member JF.
Habari wanajamvi, namomba msaada wa namba ya mfanyabiashara yoyote wa Comoro, anaweza kuwa mtanzania ila anachukua bidhaa Tanzania au akawa mkomoro anayekuja kununua bidhaa hapa Tanzania, nashukuru sana kwa ushirikiano wenu. luckman member JF.
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Aug 14, 2017 #2 Wacha nisubscribe kabisa mwenyewe mimi natafuta mtu anayefanya biashara comoro. Akija tujuzane mkuu.
L luckman JF-Expert Member Joined Oct 11, 2010 Posts 1,211 Reaction score 373 Aug 15, 2017 Thread starter #3 tuombe wadau watusaidie
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 95,838 Reaction score 136,718 Aug 15, 2017 #4 luckman said: tuombe wadau watusaidie Click to expand... Nenda vingunguti kwenye mbuzi au pugu mnadani utawapata huko utapata idea pia Ova
luckman said: tuombe wadau watusaidie Click to expand... Nenda vingunguti kwenye mbuzi au pugu mnadani utawapata huko utapata idea pia Ova