Habari wakuu natafuta masta room maeneo ya kimara (bucha-rombo),sinza,survey na mikocheni
Vigezo
Kiwe cha njee yani sio ndani ya nyumba
Maji yawepo
Mbali na msikiti,kanisa au bar
Wapangaji wachache
BAJETI
150k kushuka....
NB:bei inaweza ongezeka kulingana na ubora wa chumba na sehemu.