mcShayo
Member
- Nov 23, 2010
- 93
- 24
Wanajamvi, nilinunua simu hii ya GIONEE E7-Mini nikiwa India few years back. ni nzuri kwa muonekano na specifications zake pia si haba..
Bahati mbaga nikiwa najaribu kuiupdate ikastack and unfortunately ikadrain battery, kucharge nako ikagoma and mafundi wetu wa kibongo wakavunja kioo wakati wa kuifungua ili wa boost battery yake..
Mwenye kuweza kunisaidia kupata kioo cha hii simu I'll be more than grateful!!! Shukrani sana in advance!