dynnalovee
Member
- Nov 12, 2016
- 11
- 14
Asante kufundisha naweza kingereza na kiswahili, kufanya kazi stationary maana najua kutumia kompyuta, pia hata nikipata secretary ntashukuru. Inaumiza sana unapomaliza chuo afu unakaa nyumbani ukiwa kama mtu mwenye kuhitaji kufanya mambo afu huna pa kuanzia. Kikubwa kazi hata ya kujitolea nipate ujuzi zaidi.ume-generalise mno itakuwa shida kwa mtu mwenye nia njema kukusaidia.
Taja sifa zako hata kama huchagui kazi..elimu yako, skills, na vingine ambavyo unahisi vinaweza kukupa edge kwenye kupata kazi (lugha).
Usikate tamaa hadi kuandika.
Asante kufundisha naweza kingereza na kiswahili, kufanya kazi stationary maana najua kutumia kompyuta, pia hata nikipata secretary ntashukuru. Inaumiza sana unapomaliza chuo afu unakaa nyumbani ukiwa kama mtu mwenye kuhitaji kufanya mambo afu huna pa kuanzia. Kikubwa kazi hata ya kujitolea nipate ujuzi zaidi.
Asante kwa ushauri wako mkuuUmesomea nini chuoni?
- unajua kutumia computer applications gani?
By the way mimi sina kazi ya kukupa lakini naamini akija mdau aliye serious hapa anajua directly ni jinsi gani atakusaidia.
Again, usikate tamaa hadi tamaa!
Unaweza kazi ya kuolewa?vp huko chini kukoje?Asante kwa ushauri wako mkuu
Kumelika sanaUnaweza kazi ya kuolewa?vp huko chini kukoje?
Za asubuhi wapendwa. Mimi ni msichana Nina miaka 24 naishi dar es salaam. Natafuta kazi sehemu yeyote mijini au kijijini pote nipo tayari kufanya. Ninaomba msaada wenu. Nimekaa nyumbani nimechoka na mtu akisema nijiajiri napenda sana kujiajiri lakini suala la kujiajiri nalo linahitaji pesa. Kwa sasa hata hela ya kuishi nawaza. Najua huku kuna mawaziri wakurugenzi, na hata watu wenye makampuni naombeni mnisaidie Mimi mwanenu. Nahitaji kazi yeyote sichagui kutokana na elimu yangu ilimradi nipate pa kuponea. Asanteni na mbarikiwe
Nitafute kwa no hii. 0765449091Za asubuhi wapendwa. Mimi ni msichana Nina miaka 24 naishi dar es salaam. Natafuta kazi sehemu yeyote mijini au kijijini pote nipo tayari kufanya. Ninaomba msaada wenu. Nimekaa nyumbani nimechoka na mtu akisema nijiajiri napenda sana kujiajiri lakini suala la kujiajiri nalo linahitaji pesa. Kwa sasa hata hela ya kuishi nawaza. Najua huku kuna mawaziri wakurugenzi, na hata watu wenye makampuni naombeni mnisaidie Mimi mwanenu. Nahitaji kazi yeyote sichagui kutokana na elimu yangu ilimradi nipate pa kuponea. Asanteni na mbarikiwe
wew tapelNitafute kwa no hii. 0765449091
Taaluma yako ni IPI? Tuna hospital unaweza kuwa MTU wa usafi?Za asubuhi wapendwa. Mimi ni msichana Nina miaka 24 naishi dar es salaam. Natafuta kazi sehemu yeyote mijini au kijijini pote nipo tayari kufanya. Ninaomba msaada wenu. Nimekaa nyumbani nimechoka na mtu akisema nijiajiri napenda sana kujiajiri lakini suala la kujiajiri nalo linahitaji pesa. Kwa sasa hata hela ya kuishi nawaza. Najua huku kuna mawaziri wakurugenzi, na hata watu wenye makampuni naombeni mnisaidie Mimi mwanenu. Nahitaji kazi yeyote sichagui kutokana na elimu yangu ilimradi nipate pa kuponea. Asanteni na mbarikiwe
Huna hela zezeta wwUnaweza kazi ya kuolewa?vp huko chini kukoje?
Kuna mambo ya utani na yasiyo ya utaniUnaweza kazi ya kuolewa?vp huko chini kukoje?