jitwangabalogi JF-Expert Member Joined Aug 8, 2018 Posts 480 Reaction score 640 Jul 14, 2024 #1 Kwema ndugu zangu, mwenye connection ya kazi yeyote hata ya mda mfupi naomba anisaidie! Elimu, Diploma (education) Makazi, Dar es Salaam Tel no, 0748786954 Shukran!
Kwema ndugu zangu, mwenye connection ya kazi yeyote hata ya mda mfupi naomba anisaidie! Elimu, Diploma (education) Makazi, Dar es Salaam Tel no, 0748786954 Shukran!
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 11,645 Reaction score 14,809 Jul 14, 2024 #2 Vijana mna shida sana yaani hata kujielezea unaona uvivu kazi utaweza kweli ww education ndio nini hata kama ni science au arts pia ungefafanua kuna masomo mengi kama chemistry biology kiswahili na history kila la kheri.
Vijana mna shida sana yaani hata kujielezea unaona uvivu kazi utaweza kweli ww education ndio nini hata kama ni science au arts pia ungefafanua kuna masomo mengi kama chemistry biology kiswahili na history kila la kheri.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,009 Reaction score 17,473 Jul 14, 2024 #3 Sasa hayo ulikuwa unasoma ili ukue au yakusaidie maisha au kujipotezea muda? Ona sasa ungeingia mtaani mapema ungekuwa mzoefu wa kitaa
Sasa hayo ulikuwa unasoma ili ukue au yakusaidie maisha au kujipotezea muda? Ona sasa ungeingia mtaani mapema ungekuwa mzoefu wa kitaa