Atukuzwe Mungu
Senior Member
- Jan 29, 2018
- 198
- 243
Habarini wanajamvi,
God is good all the time, Kwa jina Naitwa Mathias (27 years) nimemaliza chuo mwaka jana kwa ngazi ya shahada Katika masomo ya sayansi (chemistry and biology), taaluma yangu mimi ni Mwalimu.
Nna uchuzi wa kutumia computer, nna kipawa cha uongozi, communication skills, and problem solving skills.
Tangu nimalize chuo nimekuwa nikifanya online application bila mafanikio yeyote, lakini mpka leo nikitokea nafasi ya kufanya kibarua mimi sichagui nnafanya tu bila kujali hali.
Naamini humu JF kuna watu ambao wapo kwenye nafasi taasisi za kiserikali au mashirika binafsi, hivyo NINAOMBA SANA KAMA KUNA NAFASI YEYOTE KWENYE KAMPUNI LAKO MIMI NIPO TAYARI KUFANYA HAIJALISHI NI NDANI AU NJE YA TAALUMA YANGU.
Huku mtaani maisha ni magumu sana, kushinda bila kujishughulisha kumbe ni kazi ngumu sana, ndipo nimegundua kuwa kumbe tumeumbiwa kufanya kazi sio kukaa tu.
Kama utaguswa na uzi wangu naomba unijulishe kupitia PM, nipo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile Tanzania, ukinisaidia mimi utakuwa umesaidia watu wengi sana nyuma yangu hivyo MUNGU atakubariki sana.
Natanguliza shukrani zangu kwenu