Kudadeki interview inaanzia hapahapaHuo uzoefu wako wa miaka minne, nn kilitokea ukaacha hiyo kazi ebu tupe mchanganuo wa story halisi ya kile kilichokukuta.
Bado ninaendelea na kazi mpaka sasa sijaacha kazi, changamoto kubwa ni kuwa kwa hapa nafanyishwa kazi nje ya masaa ya makubaliano katika mkataba bila malipo yoyote, kingine kila mwaka unapewa mkataba wa mwaka mmoja mmoja, natazamia kupata changamoto nyingine katika kazi na kupewa mkataba wa hali bora.Huo uzoefu wako wa miaka minne, nn kilitokea ukaacha hiyo kazi ebu tupe mchanganuo wa story halisi ya kile kilichokukuta.