MSAADA : Natafuta kazi nina stashahada ya mipango ya maendeleo

Feb 13, 2017
77
40
Habari zenu wanajamvi.
Tafadhari husika na tajwa hapo juu.Mimi ni kijana mtanzania mwenye umri miaka 23 na nina stashahada ya mipango ya maendeleo (diploma in development planning) kutoka chuo fulani cha serikali hapa Tanzania.

Madhumini ya kuandika huu uzi ni kuomba msaada wa kazi na ushauri pia kwasababu nimeangaika sana kutuma maombi ya kazi mitandaoni na hata kuomba temporary work ofisi mbalimbali bila mafanikio.

Kwahiyo naombeni sana msaada kama kuna afisa rasilimali watu au mtu yeyote mwenye fikra pevu anisaidie ili niweze kuongeza maarifa na kulinda ujuzi wangu usipotee.
Napenda kuwasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom