Mitandao ya kijamii ni mizuri kwa ajili ya kupata reference ya bei, na ushaurii mbali mbali n.k n.k
Ila ukifikia maamuzi sasa ya kuzama mfukoni hasa kwa simu za gharama....
Nenda dukani direct, na usiende duka moja.
Kama ilivyo huku mtandaoni...Nako huko kafanye survey ya kutosha... Na nashauri km lengo ni kufanya survey epuka kufanya hivyo pesa ikiwa mfukoni....Utaishia kununua kwenye duka hilo hilo la kwanza....
Sio mbaya... na haimaanish km duka la kwanza kwenda na ukanunulia hapo hapo et utapata famba au kwa bei ya juu... La hasha ni ushauri tuu ili kujiridhsha umepata the best at the best price...
Waweza hata utoke duka la kwanza uzunguke mengine weee....Mwishowe urudi pale pale.