Msaada: natafuta chuo kinachotoa kozi ya cooling system kiundani zaidi east Africa

Abuu Said

JF-Expert Member
Jul 5, 2015
4,010
4,750
Habari zenu wakuu
Nimetokea kupendezewa na fani ya Cooling system ambayo inajumuisha:-
  • Refrigerator,
  • Home and Offices Air condition,
  • Car air condition'
  • Truck body air condition
  • Halls air condition like Cinema hall and Comference hall
  • Buss and Min bus air condition..
Nina Idea na haya maswala ya Cooling system ambapo nilisoma kama somo pale DIT nilipokua nachukua Mechanical engineering na pia nimefanya kazi ktk kampuni inayojihusisha na maswala ya Repairing, Istalling and Servicing of Air Condition kutokana na hayo nimependezewa na fani hii nataka Chuo kinachotoa Faculty inayofundisha maswala haya kwa undani zaidi km nilivyohorodhesha hapo juu kwa Tanzania sijaona chuo chenye single Faculty ya Cooling system nataka nitazamie kwa Kenya au Uganda km nitapata.
Mwenye ujuzi naomba anisaidie natanguliza shukrani za dhati kwenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom