MSAADA;Natafuta bluetooth speaker nzuri na ya bei rahisi

MSAADA;Natafuta bluetooth speaker nzuri na ya bei rahisi

duka linalouza izo speaker anipe msaada nipo dsm
Ungesema bajeti yako ni kati ya TZS ngapi hadi ngapi. Wauzaji watakuelewa.

Kwa mwininge bluetooth speaker ya 900,000 kwake ni bei rahisi.
Wakati kwa mwingine yeye ya bei rahisi ni TZS 60,000

Nadhani umeelewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom