No hii nicheck 0768359292 alteza no C imetembea km 77000
Kwani current number mpya Tanzania inaanza na D au E? 
Duuuuh......!!!!!!!!!!
Mkuu ni kamda sipo Tz aisee
Ahaaaaaaaa.
basi sawaaaaaa.
Sasa hivi tunasimamia D.. mkuu.
Imegundulika watu wa bodaboda na bajaji ndo walikuwa wanamaliza sana plate numbers sasa wao sasa hivi wamepewa namba zao pekee yao zinaanza na M...then AAA
na kuendela.
Wadau watakuwekea picha hapa mda si mrefu
Hivi M inasimama kama nini?