mkuu hebu nijuze kwanza haya machache....
Ni Router ya home au kazini?
Kama ni ya kazini Wewe ndo Network Admin?
Ni aina gani ya Router unatumia?
Ni kweli inawezeka kwenye Router ukalimit downloading size....so inawezekana Router unayotumia imebanwa....kama una uhakuka na speed ya connection yako.
Yapo mengi unaweza kupata kwenye google kwa kusearch router unayotumia...