Wandugu
Nimevamiwa na malware aina ya Win64:Sirefif au kitu kama hicho. Mwingine ni Win32:Gen
Nashindwa kudownload chochote. Yaani browsers hazifanyi kazi. Kwa hiyo hata nikitaka kudownload MBAM au antimalware nyingine, inashindikana. Nilijaribu ku-run Avast Free kwenye Safe Mode, haikuweza kuwatoa hao wadudu wote!
Nisaidieni. Tumeni PM please.