1. itategemea na slot ila kutokana na uzamani wa hio desktop huenda ina slot mbili moja imeekwa 1gb na nyengine imeekwa 512mb ndio maana inasoma 1.5gb.
hapo utachomoa ya 512mb na kueka ya 2gb hivyo total ram itakuwa 3gb.
2. huwezi kueka ram ya ddr3 kwenye ddr2 pin hazifanani na wala hazitachomekeka
3. kubadili ram ni rahisi sana unaweza fanya mwenyewe fungua desktop utaziona ram chomoa ndogo chomeka kubwa hakuna ujuzi wa namna yoyote kila mtu anaweza badili.
machinga complex zipo ram za kutosha nafkiri ni 20,000 tu kwa 2gb.