Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

acha uboya jiandae kuwa Babab mtarajiwa....unakimbia kimbia nini..kila kitu mbele kwa mbele
 
Usikatae mimba wala mtoto na huyo mwanamke usimuache,mpaka amebeba ujauzito wako ina maana amekukubali pamoja na udhaifu ulionao;wengine huwa wanatoa;faida yake utakuja uione baadaye.
 
Hii ni aina ya vijana ambao wanamaliza vyuo na kurudi kwa mama zao kusubiria ajira ona sasa unataka kutelekeza damu yako!!!
 
Kama wewe ndiye umeiweka kwanini uikatae..acha ukatili
 
Kuna haki na wajibu, alitimiza haki yake kwako, tumiza wajibu wako, lea tu. Unaposhiriki ngono na mtu, jua mojayapo inaweza kutokeo,
A. Mimba endapo utashiriki ngono zembe
B. Magonjwa
C. Matatizo endapo muhusika yupo chini ya umri wa kiserikali/mwanafunzi
D. Nakadhalika...
Sasa, unatakiwa uwe na majibu kabla ya tendo, itakusaidia sana ktk kuchukua hatua/maamuzi sahihi kabla na si baada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…