Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

Upuuzi.
 
Unajuaje kuwa ni mimba yako.
 
Hahahaaaaaaaa. Sasa mwanangu umekua tazama ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya.
Uikatae ww muoe huyo binti unataka aje aolewe nanani. Kuepusha mengi walahi chukua jiko.
Dah mkuu umenichekesha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtoto ni baraka usikane mimba kubali mtunze binti wa watu ata akija kwenu uku we unaendelea na mapambano ya maisha ....mdogo angu ndo mimba ishaingia we sasa chakufanya ni kuwa julisha nyumbani kwamba unatarajia mtoto soon .....mpende uyo Dada aliebeba damu yako ....kila mtoto abasahani yake so jiandae kuwa baba nw
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Hahahahahaha acha uboya dogo... Unajiona mdgo huku unachuruzisha...? Komaa usithubutu kukataa mimba nakuonya we komaa paka mwisho ipo cku kila kitu kitakaa sawia
 
We boya sna mkuu ila samahan kwa hilo

Unaonekana bdo chalii

Hivi umehakikisha kua kweli ni ujauzito kwani mwanamke anaweza kukosa sku zake hata kwa strong infections kama vile UTI

Homornal imbalance ambayo mara nying inasababishwa na stress , certain drugs , au baadhi vyakula.

Sasa chakukushauri tu ww dogo usipanic nenda duka la dawa kanunue UPT (urinary pregnecy test ) mwambie demu afanye ju chin akuletee mkojo wake uje kupima

Ukikuta negetive uache huo utoto wako
Na ukikuta positive njoo hapa nitakushaur kivengine

Intructions za kupima zipo ktk upt kit kama kusom hujui naamini macho unayo utaona picha

Kila la kheir dogo
 
Nenda kamsalimie mjomba wako Kama yuko mjini mfate huko huko Kama yuko mbwinde fata kamsalimie mpaka muda wakujifungua upite na mtoto afikishe miezi mitatu
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
kwanini ulikuwa unagegeda ulitegemea nini halafu ukapime na ngoma siyo mimba tu maana hujatumia cond
 
badilisha laini hama mji kimbia mbali kijijini kabisa huko anza maisha badili na jina kabisa....huu sio ushauri wangu huu ni ushauri ambao wazembe wengi wanapenda kuusikia Lea tu mzee maana hakuna namna
 
[emoji855] anywe majani ya chai kwa wingi ita toka yenyewe tu..pia muanze kucheza mieleka ili kulainisha tumbo kidgo[emoji23][emoji23]
 
Demu anakuja kwenu wewe unaogopa nn , vp angekuja kwako.
Ndio ukubwa huo, kama hutaki unarogeka live and direct.
 
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Kwanini hukutumia condom? Raha unataka ila majukumu ndo unakimbia, kalee mimba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…