Tafuta pia Google, YouTube na play store kuna ramani nyingi sana. Waweza chagua uipendayo.Wakuu habari zenu,
Naomba msaada mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, na vitu vingine kama jiko, dinning, store,sitting, public toilet. Ila vyumba hivyo visiwe vimekaa korido moja na master bedroom
Asanteni
AsanteTafuta pia Google, YouTube na play store kuna ramani nyingi sana. Waweza chagua uipendayo.
Sawa kiongoziwakikupa ni tag mkuu
Ntakupoza kidogo, Ila iwe na hvyo vigezoRamani ipo aisee tena nyingine ndio naimalizia hapa,so unataka for free au kuna kahela kidgo utakatoa?
Njoo uchukue, nzuri Sana. Utanipoza ngapi? Nipo DSM.iko completeNtakupoza kidogo, Ila iwe na hvyo vigezo
Nimekutumia meseji pmNjoo uchukue, nzuri Sana. Utanipoza ngapi? Nipo DSM.iko complete
Ramani elfu 20 are serious?ntafute nkupe nyingi uchague mwenyewe kwa elf 20View attachment 979266View attachment 979267View attachment 979268View attachment 979269
Sent using Jamii Forums mobile app