Asante waungwana, nipo kwenye harakati za kujikita kwenye kilimo, Nina shamba lenye ukubwa wa ekari 16 huko boko nimejaribu kupanda mihogo heka 3 ila nyani wamevamia cjapata chochote,nikawaza nipande miti aina ya mitiki msimu huu wa mvua zijazo ila nikiwa kwenye folen za Ubungo nikanunua kitabu kinaelezea kilimo cha mlonge nikaamasika sana baada ya kuona ni kilimo cha muda mfupi mpaka kuvuna...