Ushindi Daima
Member
- May 4, 2013
- 92
- 27
fr kwa satelite gani mkuu ?
kwa jinsi ulvyoandika. Nadhani hata ukipewe Frequency huwezi kufunga hilo dish.
Mbona Mbeya mafundi wengi tu.
Nenda pale M'njelwa stand ya Tukuyu kwenye Duka la Pangamawe kuna mafundi.
Pia pande hizo kuna dogo Figumbo.
Njoo PM!
C Band....ila Dish liwe kwa mtindo wa Bakuli!
c band ni dish. Sema unataka fregwens za satelit gan au unataka chanel gan ?
Ndugu yangu si unajua kila kitu kina utaalamu wake?
Nataka channel za Uarabuni!
tobaaaa wenzio wanawapiga vita waarabu wewe unawataka . Nitakuwekea mkuu usikonde