Msaada nanmna ya ku-unlock simu huawei

mabesela

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,294
Reaction score
680
Habari zenu ndugu..naombeni msaada wa jinsi gani nifanye ili ni-unlock simu yangu huawei ascend Y530, maana haiwaki zaidi ya kuleta ujumbe wa neno PHONE LOCKED.
Asanteni na nawatakia sikukuu njema.
 
Habari zenu ndugu..naombeni msaada wa jinsi gani nifanye ili ni-unlock simu yangu huawei ascend Y530, maana haiwaki zaidi ya kuleta ujumbe wa neno PHONE LOCKED.
Asanteni na nawatakia sikukuu njema.

embu Eleza vizuri umenunua ikiwa hivyo au?
 
nilikuwa naitumia tangu ninunue kama wiki mbili zilizopita, aliazima mdogo wangu kama dakika 30 hivi kaileta imelock. Inaleta ujumbe huu"please connect usb cable to your computer and open Hisuite". nafuata maelekezo haya lakini haisomi kwenye kumpyuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…