Kama una swali lolote linalohusiana na kampuni katika upande wa usajili wake, kufanya mabadiliko, kodi za TRA na chochote kile kinachohusu kampuni kwa BRELA na TRA uliza hapa nitakujibu. Karibu
Mhh sijawahi sikia hii mbona kina MO ,Azam wangekoma. Nachojua mimi wanakadiria kutokana na matarajio ya mauzo siyo mtaji. Ndiyo maaana wanakuuliza unategemea mauzo kwa siku kiasi gani.