msaada namna ya kusolve hii la ''TOO MANY PATTERN ATTEMPTS... ''

JOAQUEM

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
2,020
Reaction score
1,673
wakuu nina simu yangu aina ya be.united.. Ambayo ni smartphone.... Sasa tatizo limekuja baada ya mtu ambaye nilimpa simu kukosea kuingiza password ambazo nilikuwa nimeweka..(pattern password) na kusababisha kublock line na pia simu... Sasa inanidai nisign in kwakutumia google account...,,, nimefanya ivyo lakini inaniambia invalid username or password.. na wakati niweka username na password zote ni corrent na ndo nilikuwa nazitumia playstore ...
 
Perform a factory reset. YOU WILL LOOSE all not-synced DATA (SD card will be left untouched).

 
Inawezekana kuna baadhi ya keys zina kudanganya hakikisha touch yako ipo sensitive kwa kila herufi unayo type.
 
Inawezekana kuna baadhi ya keys zina kudanganya hakikisha touch yako ipo sensitive kwa kila herufi unayo type.

mkuu nimehakikisha yote hayo unayosema ila mwishoe ndo ivyo.... kwa kifupi kukiwa na incoming call naweza kupokea ila kusoma sms, kupiga simu ndo utata
 
Perform a factory reset. YOU WILL LOOSE all not-synced DATA (SD card will be left untouched).

nita perfome vp hiyo factory reset..... maana hainiruhusu hapa kufanya chochote zaidi ya emergency call na kusign in kwenye google a/c basi.. kwa kifupi screen iko locked
 
mkuu nimehakikisha yote hayo unayosema ila mwishoe ndo ivyo.... kwa kifupi kukiwa na incoming call naweza kupokea ila kusoma sms, kupiga simu ndo utata
Ok fanya hivi [huwa inakubali kwa baadhi ya simu]:
Call yourself from another phone, answer, without hanging up press the home button, then menu button, settings, try to disable pattern-lock

nita perfome vp hiyo factory reset..... maana hainiruhusu hapa kufanya chochote zaidi ya emergency call na kusign in kwenye google a/c basi.. kwa kifupi screen iko locked
Je ni model gani ya simu unatumia? Manual factory resert inategemeana na aina ya simu.
Jaribu kufanya hivi:
  • Izime simu yako, na ikiwezekana ondoa betri nausubiri kwa sekunde 15 ndipo urudishe betri katika simu
  • Shikiria Volume Down + Power ON subiri hadi Recovery Menu ijitokeze
  • Tumia volume batton ili kuchagua "Wipe data/factory reset" mwisho click " Power ON"
ila kumbuka YOU WILL LOOSE all not-synced DATA
 

kwa njia hiyo ya pili nimefanikiwa ingawa kwenye rangi nyeusi hapo ndo hivyo tena...
nashukuru sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…