ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Ondoa nailon hizo! Ndio zinaziba camera, kisha kanunue screen guard kuilinda simu yako na mikwaruzo.hakuna setting yoyote hapo.
Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
nimeshaweka screen protector na nimeshaondoa nairon haina nairon bali inasumbua nkpiga picha bado tatizo linakuwa ni palepale mkuu, labda nirudishe kule nilikonunulia wanisaidie kuset
Nahitaji msaada nina simu aina ya Google smartphone 748
namna ya kupata app. za jamiiforum pls
Hebu hakikisha tena jina la simu yako...
Katika simu yako, fungua application ya "Play Store" na kutokea hapo search "JamiiForums"...download and install in ya phone.
Kumbe jibu unalo unakuja jf kusumbua.
aina yake ni google 748
Mmmh!!!
Sorry if i may mention this, hiyo simu nadhani si genuine endapo yo keep on insisting kuwa hilo ndio jinale.
ina mp ngapi?
nitaitambuaje kama sio genuine? niambie nifanyeje nitambue?
umetaja kuwa simu yako ni google 748...
Najaribu ku-google jina hilo lakini search results halileti kitu chochote kinachohusiana na simu...
So just imagine kama google search inashindwa kutambua aina ya simu ya google, huoni hapo kuwa kuna mushkeli?
Anyway hebu fanya hivi,
1. Katika simu yako bonyeza kitufe cha "settings"
2. Halafu tafuta mahali palipoandikwa "about device", bonyeza hapo.
3. Halafu tafuta mahali palipoandikwa "model number", ukiiona hiyo model number iandike hapa
nimeshaweka screen protector na nimeshaondoa nairon haina nairon bali inasumbua nkpiga picha bado tatizo linakuwa ni palepale mkuu, labda nirudishe kule nilikonunulia wanisaidie kuset
Umetaja kuwa simu yako ni Google 748...
Najaribu ku-google jina hilo lakini search results halileti kitu chochote kinachohusiana na simu...
So just imagine kama google search inashindwa kutambua aina ya simu ya google, huoni hapo kuwa kuna mushkeli?
Anyway hebu fanya hivi,
1. Katika simu yako bonyeza kitufe cha "Settings"
2. Halafu tafuta mahali palipoandikwa "About device", bonyeza hapo.
3. Halafu tafuta mahali palipoandikwa "Model Number", ukiiona hiyo model number iandike hapa
Ingia store,install app inaitw camera360 tatzo lako litakuw solved
Inquiry yako bado ina utata ndo maana hupati msaada wa maana. Jina la simu sio sahihi hilo (labda ni google nexus, am just guessing coz umeinsist ni google), pili camera yake ina megapixel ngapi? Tatu, anagalia tena vizuri kwenye lens ya camera. Huwa kuna ka kanylon kembambaa sana na kapo around lens pekee. Usipoangalia vizuri huwezi jua kama kapo kanaonekana kama kioo ( kwa simu original). Jiridhishe kwa kufanya kama unakwangua na kucha au kitu chenye ncha lakini kwa umakini.
asante daddy nimefanikiwa nashukuru Mungu akubariki sana tena sana kwa msaada wako