msaada namna ya kurekebisha rangi

Rangi ya nini kwenye TV unataka kubadilisha?
 
Kama mimi ningejaribisha kusoma manual na pia kujaribu kuunganisha waya kama scart lead tv mbovu iwe output na tv ingine au computer/laptop iwe input kuona kama picha itaonekana kwa ya pili.

Ila naaminia wanaojua ufundi zaidi au ambao imeshawatokea watakueleza na kutaka kujua ni channel moja tu inayoleta hayo kama unatumia king'amuzi na ya kutumia dvd au video je zote bado screen inakuwa hivyo hivyo? Kutambua kama ni TV yenyewe au unavyo viunganisha.
 
Nimejaribu kubadili nyaya lakini bado haijasaidia..hali hii haibadiliki hata nikitumia decoder au deki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…