Msaada namna ya kuprogram bango la kielectronic

kabwigwa

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
933
Reaction score
1,543
Msaada wadau nina Bango ambalo cd yake imepotea na nahitaji kuweka maneno mapya katika hilo bango.Kama kuna mtu anaweza kunisaidia plz.Au kama cd software ninaweza nikaipata,nipo tayari kulipia gharama.
 
Ukisema bango unamaanisha nini? Banner?

Kuweka maneno si kazi kama ni banner upload hapa utaekewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…