Ndugu naomba msaada niweze kupata na kufanikiwa kupata number zakuweza kuzitumia WhatsApp za free nikijaribi kuseach nazipata za kulipia ambazo zinanitaka nijaze taarifa za Kadi ya benk yangu ambapo Mimi napata uoga kuhusu hilo

unapata uoga wa nini account yenyewe ina elfu 20. Matumizi ya Visa na master card yapo secured kama unaogopa tumia Paypal kama hujui MPesa na Airtel wana huduma ya Master cad virtual card