B bizplan JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 592 Reaction score 574 Aug 30, 2015 #1 Wadau, nimeibiwa simu. Naomba kuuliza ikiwa kuna namna naweza kuipata simu iliyoibiwa. Na je kama ninazo IMEI namba inaweza saidia kui-trace simu au kuiblock? Msaada plz.
Wadau, nimeibiwa simu. Naomba kuuliza ikiwa kuna namna naweza kuipata simu iliyoibiwa. Na je kama ninazo IMEI namba inaweza saidia kui-trace simu au kuiblock? Msaada plz.