M Mkurabitambo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2010 Posts 230 Reaction score 57 Jul 25, 2012 #1 nikiwa kama mfanyakaz,kwa miaka mitatu sasa nimechangia NSSF.Kutokana na sheria hii mpya nafikiria kujitoa,naomba mnpijuze ntatoka vp?
nikiwa kama mfanyakaz,kwa miaka mitatu sasa nimechangia NSSF.Kutokana na sheria hii mpya nafikiria kujitoa,naomba mnpijuze ntatoka vp?
Goodrich JF-Expert Member Joined Jan 29, 2012 Posts 2,091 Reaction score 1,179 Jul 25, 2012 #2 Huwezi kutoka maana sheria inamtaka kila muajiri na muajiriwa kuchangia katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Namna pekee ni kujiajiri ndio utakuwa huru
Huwezi kutoka maana sheria inamtaka kila muajiri na muajiriwa kuchangia katika mifuko ya hifadhi ya jamii. Namna pekee ni kujiajiri ndio utakuwa huru