W WANKIE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 987 Reaction score 323 Jan 11, 2014 #1 Habari za asubuhi wakuu!Kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuingiza picha katika kijiboksi cha avatar, naomba anielekeze.
Habari za asubuhi wakuu!Kwa yeyote mwenye kujua namna ya kuingiza picha katika kijiboksi cha avatar, naomba anielekeze.
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jan 11, 2014 #2 Fuatisha maelekezo kwenye picha hapo chini. HATUA YA 1 HATUA YA 2 HATUA YA 3 Utatakiwa uwe na picha yako tayari kwenye pc yako Attachments Moja.png 11.8 KB · Views: 526 MBILI.png 10.2 KB · Views: 504 TATU.png 11.4 KB · Views: 506
Fuatisha maelekezo kwenye picha hapo chini. HATUA YA 1 HATUA YA 2 HATUA YA 3 Utatakiwa uwe na picha yako tayari kwenye pc yako
hmjamii JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 627 Reaction score 313 Jan 11, 2014 #3 Ni rahisi sana nadhani utakua unatumia jamiiforums mobile software ndio maana unapata tabu, sasa nenda kwenye browser unayotumia kusearch vitu tafuta jamiiforums alafu log in then nendha sehemu ya kuseti pictute hapo utajua tu ukifika
Ni rahisi sana nadhani utakua unatumia jamiiforums mobile software ndio maana unapata tabu, sasa nenda kwenye browser unayotumia kusearch vitu tafuta jamiiforums alafu log in then nendha sehemu ya kuseti pictute hapo utajua tu ukifika
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,663 Jan 11, 2014 #5 Iyokopokomayoko said: Fuatisha maelekezo kwenye picha hapo chini. HATUA YA 1 HATUA YA 2 HATUA YA 3 Utatakiwa uwe na picha yako tayari kwenye pc yako Click to expand... Jembeee.
Iyokopokomayoko said: Fuatisha maelekezo kwenye picha hapo chini. HATUA YA 1 HATUA YA 2 HATUA YA 3 Utatakiwa uwe na picha yako tayari kwenye pc yako Click to expand... Jembeee.
kat.ph JF-Expert Member Joined Dec 19, 2013 Posts 2,222 Reaction score 1,679 Jan 11, 2014 #7 Inasumbua sana kwa mobile users