Ina depend kama coz unayohamia chuo husika haijaa!!!...somtyms inakamlolongoSamahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo
Mkuu weka vizuri ueleweke, unahama Course, degree program au Faculty?. Kumbuka hivi ni vitu tofautiSamahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo
degreeMkuu weka vizuri ueleweke, unahama Course, degree program au Faculty?. Kumbuka hivi ni vitu tofauti