Msaada namna ya kuhama chuo binafsi kwenda chuo cha serikali

HMJ

Senior Member
Apr 24, 2013
157
21
Habari zenu wakuu,
Poleni kwa majukumu pia hongereni kwa harakati zenu mbalimbali za kujenga taifa.

Kwani JF inatoa mchango mkubwa kwa vijana mbali mbali kujua fursa na mtazamo chanya kuhusu mustakabali wa nchi yetu inavyokwenda katika nyanja tofauti tofauti...

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo kuna ndugu yangu aliona nafasi za masomo NACTE katika kada ya afya ngazi ya diploma na amechaguliwa kujiunga na kimoja hivi...

Sasa yeye anataka kutransfer kutoka chuo kile kwenda cha government kutokana na hali ya kiuchumi maana pesa katika kile chuo alichochaguliwa ni nyingi sana kutokana na uwezo aliokuwa nao..

Kwa mwenye ufahamu juu ya hilo msaada wa kimawazo unahitajika...
Ahsanteni...
 
Inamaana hakuna mwenye ufahamu juu ya hili...
 
Back
Top Bottom